Posts

Showing posts from August, 2021

Meseji nzuri ya salamu kwa umpendaye

Image
  Meseji nzuri ya salamu kwa umpendaye Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu “UHALI GANI MPENZI?”

SMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako

Image
  SMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako We Kipepeo, ,.-.-.-._.’ //’_.-.-.-.,    ”-.,-.:-)i(:’.-,.-”       ‘-..-‘()’-..-‘ Ruka, nenda upesi usichelewe.Tua kwa heshima mbele ya huyu nimpendaye. Sema naye kwa upole, chonde usimsumbue. Mwambie nipo salama ila namuwaza sana. Umwambie nampenda kamwe sitamsahau. Kisha umuage kwa kumwambia nakutak..

Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss

Image
  Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni, hivi kwel i nipo kwako moyoni? Nakupenda

SMS ya mchana mwema kumwambia mpenzi wako aendelee kufurahia mapenzi yako

Image
  SMS ya mchana mwema kumwambia mpenzi wako aendelee kufurahia mapenzi yako Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, il i mapenzi yangu yasikukifu, END ELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema

SMS nzuri ya mapenzi ya kutakia usiku mwema

Image
  SMS nzuri ya mapenzi ya kutakia usiku mwema Mungu akupe umri wa mnazi uishi mingi miaka. Akupe thamani ya mnazi kila kitu chatumika. Kuanzia kuti lake mpaka kwenye kidaka. Kitale katikati yake ukila utaridhika. Matamu na maji yake hukata kiu haraka. Weupe watui lake lina ladha ukipika. Kupaka mafuta yake mwili hulainika. Na kwenye machicha yake kazi nying hufanyika. Hata na upepo wake uvumapo utacheka. Sikijui kitu chake kipi kisichotumika.usiku mwema Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa

SMS ya kuahidi kumpenda mpenzi wako milele

Image
  SMS ya kuahidi kumpenda mpenzi wako milele Niliumbwa kwa ajili yako, mbele yako nitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu, pendo langu la undani, na NITAKUHESHIMU milele mpenzi wangu.

SMS nzuri ya kumtakia umpendaye mchana mwema

Image
  SMS nzuri ya kumtakia umpendaye mchana mwema Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najit ahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema

SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako

Image
  SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako Kumbuka kuwa wewe ni wangu Kitulizo cha moyo wangu Kwenye shida na raha Wewe ni sehemu ya maisha yangu milele

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa unamjali na kumpenda milele

Image
  SMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa unamjali na kumpenda milele Tambua kuwa nakujali Furahia kwamba nitakuwa na wewe Katika siku zote za maisha yangu Nitakupenda bila kikomo milele

SMS ya kumtakia sweet wako usiku mwema

Image
  SMS ya kumtakia sweet wako usiku mwema Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahab a kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA

Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye

Image
  Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani, Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni, Usije ukaondoka hakuchinji asilani, Mwambie namkumbuka h atoki mwangu moyoni. ucku mwema

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa bado unampenda na hujabadilika

Image
  “Japokuwa” “Kuku” “Haogi” “Yai” “Lake” “Litabaki” “Kuwa” “Jeupe” “Tu” “Namaanisha” “Kuwa” “Hata” “Kama” “Ukiona” “Nipo” “”KIMYA”” Muda” “Mrefu” “”UPENDO”” “Wangu” “Kwako” “””Bado””” “Uko” Pale pale!!!!! Usijali “Tupo Pamoja” “Kwa” “Asilimia 100%”.

Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako

Image
  Nafsi yangu inafurahia ya kwamba wewe ndio chaguo langu, ubavu wangu tabasamu usoni mwangu ndio siri ya pendo lako kwangu

Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako kumtakia usiku mwema

Image
“””””Yule””””” Anipendezae lazima nimkumbuke”” “”nimpe salamu “”moyo”” wangu “”uridhike”” “”Nimuombee kwa MWENYEZI “”MUNGU”” mabaya yamuepuke”” “”na kila lililo la kheri kwake lisiondoke”” “”nakutakia”” “ucku mwe ma”

SMS ya mahaba ya kimapenzi ya kutakia siku njema

Image
  Licha ya upole ulionao! Pia upendo wako ndio kishawishi cha kunifanya nikukumbuke siku zote. Jiulize! nina namba za watu wangapi ktk cmu yangu,na bado sijatamani kujua hali zao ila wewe! kwa kuwa, nakuthamini nakukujali, ndiyo maana nakutakia, SIKU NJEMA

Meseji ya kutakia usiku mwema

Image
Usiku Ni “utulivu” Usiku Ni “mzuri” Usiku Ni”upole” Usiku Ni “kimya” Lakini Usiku Haujakamilika Bila..Kukutakia Wewe.. U S I K U=m=w=e=m=a!

SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako

Image
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi

Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema

Image
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema

Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako

Image
Nitaenda mbali Zaidi ya maono yako Safarini nitajenga hekalu la pendo letu Nitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wako Na mwanzo wa sherehe ya ndoa yetu

SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi

Image
Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu. Ndilo sababu ya nguvu yangu. Tangulia pembeni mwa macho yake. Asubuhi  hii hadi usiku ujao

Meseji ya usiku mwema kwa umpendaye

Image
Ckia ckupend, cktaki na wala ckhitji tena ww ni kikwzo ktka maisha yangu ucnizoee! Mwmbie shtan maneno hya kabla  hjalala. g9t

Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe kumwambia unavyommisi

Image
Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda, macho nayaangaza, taratibu navuta shuka na kujitanda, mishumaa pembezoni inaniangaza, mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosa ni joto lako na vi jimambo vyako kunako kitanda!

Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako

Image
Nitaenda mbali Zaidi ya maono yako Safarini nitajenga hekalu la pendo letu Nitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wako Na mwanzo wa sh erehe ya ndoa yetu

SMS kali ya kumtumia mpenzi wako usiku

Image
 SMS kali ya kumtumia mpenzi wako usiku Ukilala Lala Salama Kumbatia mwili wangu Kama ukinikumbuka Sana Nipigie Kupitia Sim Yangu Matatizo Chuki Lawama Vumilia Mpenzi Wangu.

SMS nzuri sana ya kutakia usiku mwema

Image
 Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje. Hodiiiiii, Hodiiiii, Tunaomba tufungulie Mlango,, sisi tunaitwa FURAHA, AMANI na UPENDO. Tumebeba HEKIMA, BUSARA na MAFANIKIO. Tulikuwa wengi HURUMA na UPOLE wanakuja nyuma. CHUKI na WIVU hawana nauli. TABU ni mahututi. SHIDA yuko jela. MATATIZO amepigwa shoti ya umeme. MIKOSI amefariki njiani. LAANA ameliwa na mamba. UVIVU ameungua na maji ya moto hajiwezi. Tutakuwa nawe daima maana tumefika kwa NEEMA . Mungu akulinde na mabaya yote katika dunia hii. ucku mwema.

Kila ninapovuta hisia

Image
Kila ninapovuta hisia ya kuwa na wewe nachanganyikiwa, natumia mto pembeni yangu naufananisha na wewe, nakupenda mpenzi! *****

Usiku huu ni mrefu ajabu,

Image
  Usiku huu ni mrefu ajabu, kuna baridi kali kuliko maelezo, natamani ungekuwa pembeni yangu nipate joto lako! Ingawa upo mbali nami, lakini amini kuwa nakupenda kwa mapenzi yangu yote, lala salama dear, mwaaaaa! *****

Kama nikiambiwa niweke rekodi

Image
  Kama nikiambiwa niweke rekodi ya watu muhimu katika maisha yangu duniani, kwenye tatu bora utakuwepo, kwanza wazazi wangu halafu wewe unafuatia, nakupenda dear! *****

Hakuna atakayetutenganisha mpenzi

Image
  Hakuna atakayetutenganisha mpenzi wangu, ingawa wanafiki wanasema mengi, weka masikio yako pamba, achana nao wana vivu hao! *****

Najua Upo busy mpenzi

Image
  Najua una kazi nyingi mpenzi, lakini muda wa kula umefika, nenda ukale kwanza mpenzi wangu! *****

Niseme nini ujue nakupenda

Image
  Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yakon upo moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio naosema kuwa nakupenda, niamini mpenzi! *****

Najua unanipenda mpenzi wangu

Image
  Najua unanipenda mpenzi wangu, lakini urembo wako unaniweka roho juu, angalia usihadaike na walaghai, napenda mpenzi wangu! Mwaaaa… *****

Maji hunitosha nisikiapo kiu

Image
  Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu! *****

Pokea sms yangu iliyojaa utamu

Image
  Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno  laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama  apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee  salamu “UHALI GANI MPENZI?”        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Mapenzi ni matamu napia yana raha

Image
  Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu,  siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu  muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.  “NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Wewe ni wapekee ninaekupenda

Image
  Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala  sina wazo la kukutenda, nakuomba  tuendelee kupendana siku zote habbity wangu          *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Mpenzi kila tunapokuwa

Image
  Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,  huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili  mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.  Mchana mwema         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Thamani ya Mapenzi yako SMS

Image
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani  nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi  kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali  hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Si vibaya mimi kukusifia

Image
  Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi  umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama  hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDA  MWINGINE ZAIDI YAKO”          *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.° *

Moyo wangu umehifadhi hisia zako SMS

Image
  Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe  sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya  ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo!  “NAKUPENDA MALAIKA WANGU”         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Utamu wako

Image
  Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji  kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo  kama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET”         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Fungua macho yako uone SMS

Image
  Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,  fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,  fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo  kwa kukutumia sms mpenzi wangu,  Nakutakia usiku mwema         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Furaha ya mapenzi SMS

Image
  Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi  nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu,  kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Mapenzi magumu SMS

Image
     *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Mapenzi ni magumu na yatabaki kuwa hivyo, lakini kumbuka  kuna akupendaye naye ni MIMI!.        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Nitunzie Ufunguo Mpezni SMS

Image
  *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*  .:””””_____.-.-._ ( 0    .———–‘   ‘—‘ Tunza ufunguo huu,utautumia kufunga mwaka 2011 &  kufungulia 2012. Mungu alizigawa nikakuchukulia na wewe

USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na

Image
  Usikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na  wali,  usizidishe siki akawa mkali.  Ni  mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.           *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*