Usiku huu ni mrefu ajabu, kuna baridi kali kuliko maelezo, natamani ungekuwa pembeni yangu nipate joto lako!Ingawa upo mbali nami, lakini amini kuwa nakupenda kwa mapenzi yangu yote, lala salama dear, mwaaaaa! *****
SMS nzuri ya kumtakia umpendaye mchana mwema Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najit ahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema
Meseji nzuri ya salamu kwa umpendaye Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu “UHALI GANI MPENZI?”
Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni, hivi kwel i nipo kwako moyoni? Nakupenda
Comments
Post a Comment