SMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako
SMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako
We Kipepeo,
,.-.-.-._.’ //’_.-.-.-.,
”-.,-.:-)i(:’.-,.-”
‘-..-‘()’-..-‘
Ruka, nenda upesi usichelewe.Tua
kwa heshima mbele ya huyu nimpendaye. Sema naye kwa upole, chonde usimsumbue. Mwambie nipo salama ila namuwaza sana. Umwambie nampenda kamwe sitamsahau. Kisha umuage kwa kumwambia nakutak..

Comments
Post a Comment