KWA DUNIA TULIYOPO HAKUNA HAKIKA YA MTU KUWA NA MTU AMBAYE NDO KWANZA YEYE YUPO PEKE YAKE


💯
Unaweza kujiuliza maswali mengi katika hili, lakini fahamu jambo moja;-
👉 MAPENZI IMANI.
Ili mapenzi yakose maana ni pindi IMANI inapokuwa imetoweka, kila mtu awe mwanamke ama mwanaume anahitaji kuwa na UHUSIANO IMARA💕
Lakini lipo tatizo wengi hatujalijua, nalo ni;-
👉 KUAMINISHWA UPO PEKE YAKO.
Bila kujua kwamba MAPENZI MENGI YANAJENGWA KWA FARAJA ZAIDI YA UHALISIA🤦‍♂️
Kwamba mtu anatoka alikotoka huku akiwa amejawa MAUMIVU baada ya kile alitarajia kukosekana, na anakuambia kuwa na UPENDO WA DHATI JUU YAKO huku ndani ya moyo wake bado kabeba mtu mwingine japo akitesekea FARAJA kwako.
Unataka kujua kwamba HAKUNA MTU AMBAYE NI SPECIAL zaidi kinacho yabeba mapenzi ni imani, fahamu hili;-
👉 KILA UNAYE KUTANA NAE UJUE KAACHWA NA MTU.
👉 KUNA MTU ANATOKA NA ULIYEMUACHA.
👉 ULIYEMUACHA ANAPATA ALIYEACHWA.
Sasa nafikiri umepata maana yangu na itakusaidia kutafuta wako mmoja na mkapendana na kujenga DHAMANA YA UPENDO ambao utawapeleka mbali, bila kuangalia KATOKA WAPI NA YEYE KUTOANGALIA UMETOKA WAPI 🤷‍♂️
Mapenzi ya kweli hayana sheria kwani ni MAPOKEO YA NAFSI 📍
May be an image of one or more people, ocean and text that says 'shutterstock.com 1029619705'

Comments

Popular posts from this blog