KOSA LA MWANAUME KATIKA MTAZAMO WAKE KWA MWANAMKE NI PALE ANAPOKUWA AMEKWISHA KUWA NAE
Wanaume wengi kabla hajamjua MWANAMKE huwa na mtazamo wa THAMANI YA MWANAMKE na pindi wanapopata nafasi ya kuwa na mwanamke huwa na mtazamo wa kawaida juu ya MWANANKE
Hilo ndilo huwafanya wanaume wengi kuona mwanamke ni kama chombo cha;-
Na mengine yanayotokana na Mwanaume Kuhudumiwa, kwamba kama Mwanamke sio mchapa kazi anakosa sifa ya kuwa nae, na wanaume wengi wa aina hiyo Hafanyi chochote Mwanamke akiwepo
Lakini kama MWANAUME angebakia na ule mtazamo wa awali kwa kujua THAMANI YA MWANAMKE naamini pasingekuwa na MWANAMKE ambaye angelilia MAPENZI na zaidi sana USALITI UNGEBAKIA KWA WENYE HULKA YA NGONO.
Utu wa MWANAMKE upo katika maungo yake, kuamini kwamba;-
Na inapokuwa tofauti Mwanamke huyo hujihisi kufanyiwa ukatiri, japo ni ukweli kuwa STAREHE YA MAPENZI NAYO HAIJAWAHI MWACHA MTHITAJI SALAMA
Muda mwingine kinachopunguza hasira ya Mwanamke kwa Mwanaume baada ya kumtumia ki ngono na kumuacha ni ile hali ya MAHITAJI YA WANAUME KUWA MAKUBWA JUU YA MWANAMKE kwamba anapoondoka John anaingia mwingine Hamis kusababisha FURAHA japo ya mpito kwa Mwanamke huyo
Vinginevyo ingekuwa ni hali mbaya Sana, Zaidi Sana kila Mmoja asimame kujenga DHAMANA YA UPENDO kwa Mwingine, Ni njia rahisi Kuwapa FURAHA NA AMANI YA KUDUMU.
HAPPY EASTER TO YOU ALL MY FOLLOWERS


Comments
Post a Comment